yaani sana Adela mimi ni mama nina watoto wawili yaani raha sana my dear
nawashangaa sana wanaotupa watoto wakati kuna watu wanatafuta watoto jamani ni furaha sana kuwa na familia na watoto
naitwa baba James yaani ni raha sana
Jamani mbona rahaaaaa utamu, nina mtoto wa kike yaani ni furaha yangu. Nimependa sana familia ya Raque and Haighty
Ni raha saaaaana kuwa na familia,hasa ukiwa na watoto ni raha ajabu
Unakaribishwa kutoa maoni yako.
yaani sana Adela mimi ni mama nina watoto wawili yaani raha sana my dear
JibuFutanawashangaa sana wanaotupa watoto wakati kuna watu wanatafuta watoto jamani ni furaha sana kuwa na familia na watoto
JibuFutanaitwa baba James yaani ni raha sana
JibuFutaJamani mbona rahaaaaa utamu, nina mtoto wa kike yaani ni furaha yangu. Nimependa sana familia ya Raque and Haighty
JibuFutaNi raha saaaaana kuwa na familia,hasa ukiwa na watoto ni raha ajabu
JibuFuta