Pages

Ijumaa, Januari 27, 2012

Nawatakia weekend njema tuendele kuwa pamoja

Napenda kuwashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nami UJUMBE WANGU WEEKEND HII  "SI JAMBO LA BUSARA KUMTENDEA MTU JAMBO AMBALO HATA WEWE BINAFSI USINGEPENDA KUFANYIWA" NI VYEMA KUTENDA YALIYO MEMA BILA KUJALI KAMA UTALIPWA FADHILA YAANI TENDA WEMA UENDE ZAKO.

Maoni 1 :

Unakaribishwa kutoa maoni yako.