Pages

Ijumaa, Januari 13, 2012

Nawatakia weekend njema wadau

Nawatakia weekend njema wadau wangu UJUMBE WANGU LEO NI MUHIMU KUWA NA MUDA WA KUTAFAKARI YALE UNAYOYAFANYA KILA SIKU  ILI KUJUA WAPI UMEKOSEA,,NINI UONGEZE ,NA WAPI UMEFANIKIWA MAISHA NI MCHAKAMCHAKA HAKUNA KULALA.....

Maoni 2 :

  1. Ahsante kwa ujumbe murwa..hakuna kulala hata kama hujala..wiki end njema nawe pia na wote watakaipita hapa.

    JibuFuta
  2. Ujumbe umefika Adela maisha ni mchakamchaka kweli ngoja tujitahidi mpaka kieleweke tu!cku njema.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.