Hivyo ni vyema kujitafakari na kujiangalia upya kwa kuangalia uhusiano wako muhimu kwa Mungu, mume ama mke wako, watoto , ndugu, wafanyakazi wenzako, na jamii nzima kwa ujumla KAMA UTAGUNDUA KUNA MAMBO ULIKUWA UNAYAPUUZA NA KUONA NI MADOGO JIREKEBISHE KWASABABU YANAWEZA KUKUSABABISHIA MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA,,, KWANI MDHARAU MWIBA MGUU HUOTA TENDE,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, |
ndugu ndugu yangu, mpendwa sana, mdharau mwiba guu huota tende, na mficha uchi hazai, na.....tupo pamoja
JibuFuta