Pages

Jumatano, Mei 23, 2012

Inapendeza sana mwanamume kuwa smart kama hivi

Kanye West napenda sana the way anavyovaa anajua kujipanga katika mavazi


Dullah Spartan cow boy pendeza sana

good good

Trey Songs freshi sana

Inapendeza kujiweka smart wakati wote

Maoni 2 :

  1. Maswala ya Ladha hayo! AU?:-)

    JibuFuta
  2. huyu dulla ni mtz? mzuri? yupo facebook? anatumia jina gani?

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.