Nimesoma haya maneno kwa umakini kwamba kwa asilimia kubwa wanawake wazuri yaani warembo wa maumbile,sura y amekamilika kila idara siku zote ni waongo katika mapenzi na kauli hii hupenda kuizungumza baadhi ya wanaume kwamba wanawake wazuri ukiwa naye nikujipa presha Binafsi nasema inategemea na tabia ya mtu kuna walio wazuri na wametulia. JE WEWE UNASEMAJE |
hpna c kweli naipinga hii kauli.
JibuFutaMmh hapo panaweza kuwa na ukweli pia inategemea na akili ya m2
JibuFutaNi kweli tupu... hiyo imefanya hata wengine kuoa walemavu...
JibuFutaI thnk hiyo inategemea na tabia ya m2 binafsi anaweza akawa dem wa kawaida 2 nae akawa pasua kichwa vilevile.
JibuFutaSi kweli kabisa kila mtu na tabisa yake..pia mimi huwa naamini hakuna mtu mbya hapa duniani!!!
JibuFutaasilimia kubwa ya warembo wanababaikiwa na wanaume sn kitu ambacho kinapelekea wao kujisahau na kuanza kujirahc au kucheat!
JibuFutaKila demu ni mzuri, ni mtazamo wako tu. Unaweza kuona demu bomba kumbe, ni kituko kwa mwingine. Mi naona hii inategemea na kila mtu na tabia yake, pia kucheat sometimes unakuta mwanamke pia hana uhakika na mwanaume aliyekuwa naye at that particular time, so inabidi acheck mpango mwingine to be on the safe side. Pia kuna wanawake wengine wana machale, kwa kuogopa maumivu, so inabidi ukae mkao fulani yasimkute maumivu.
JibuFutaUko ryt kaBisaaaA
Futainadepends na female je anareal love na wewe au,swala la,ubeauty kila female nibeauty,mpaka unakuwa naye na kumprome kwa mabest zako ujuweumemkubali ile mbaya,kiukweli uzuri sio tatizo poblem ni roho,na kupotea kwa real love,wa2 wengi wamepoteza ule upondo wa kweli.tujitahidini tuhurudishe uzidi hata ule wa mababu zetu na bibizetu.
JibuFutasi kweli wanawake wazuri wote hawajatulia.ni hali ambayo wanaume wamejiwekea kwa kuonyesha udhaifu kwa viumbe wazuri wa kike.wanawake wengi wazuri wameolewa na wanatulia kwenye ndoa zao kuliko wengine ni wabaya na kicheche tu.ni udhaifu wa wanaume kutowaweza.
JibuFutaInategemea na mtu, ila kuna ukwel ndan yake
JibuFuta