Pages

Jumanne, Mei 15, 2012

Mpenzi wangu anataka tendo la ndoa wakati nipo kwenye siku zangu

Mimi ni mwanamke ninampenda sana mume wangu tuna mwaka mmoja katika ndoa yetu hatujabahatika kupata mtoto nina tatizo ambalo ni kero ninazopata kutoka kwa mume wangu, tabia yake yakunitaka kimapenzi wakati nikiwa katika siku zangu naumia sana kwani nikimkatalia anasema simpendi wakati mwingine ananinunia mimi nampenda lakini tabia hii inanikera kiasi kwamba nakosa raha sijui nifanyeje naombeni ushauri

Maoni 7 :

  1. lyna wa ukweee15 Mei 2012, 17:43

    ilo sasa gume gume,pole sna jmn dada vumilia ndio ndoa iyo au mueleweshe akikataa muende kumuona dokta na hamshauri madhara yake.

    JibuFuta
  2. JAMANI UKITAKA KUJUA MWISHO WADUNI KARIBU NCIYO KM HIVI KWELI MTU NI KEO KILSIKU UPO NAE KWANN ANAKUWA HANA UVUMILIVU KUWA MUDA MFUPI. MH. AKILIKICHWANI MWAKO NDIYO UNAONYESHWA MAPEMA...LAKIN JARIBU KUMFAHAMISHA JINSI HUPENDI AND HOW U FELL MAAN NAJU NI DOA LIMESHA INGIA.

    JibuFuta
  3. Hiyo haipo, hataikiwi kiafya na kidini...hapo kinachohitajika ni ushauri,...nendeni kwa docta atawaelezea ubaya wa hilo kitaalamu, na kama ni watu wa imani muoneni kiongozi wa dini awape neno la mungu.

    JibuFuta
  4. Hamna cha nini, mpe mumeo raha. You can make love in the bathtab, weka maji ya uvuguvugu na mnaendelea na raha zenu bila shida.

    JibuFuta
    Majibu
    1. kweli wewe huna uwezo wa kufikiria, kwanza cjui una imani gani try that kama ni vizuri unahitaji maombi!?!!

      Futa
  5. pole sana mama

    JibuFuta
  6. Pole sana dada, piga goti muombe sana Mungu atakupa njia ya kutatua tatizo lako na pia nendeni kwa daktari ili ajue madhara yake, na mweleze mumeo kwa upole jinsi unavyokereka.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.