Pages

Jumanne, Juni 12, 2012

Alama za FREEMASON ZAENDELEA KUTAPAKAA

Jamaa aliniambia hii ni swaga tu
Nikafananisha na hii hivi kuna ukweli kuhusu hizi alama jamani mi nahisi labda ni swaga tu kwasababu wengine hutumia bila hata kujua maana yake kwasababu sikuhizi kila unachokifanya utasikia kinahusishwa na jambo fulani

Vijana walikuwa wanasalimiana kama hivi


Maoni 2 :

  1. ADELA hao wanao wapakazia watu mbovu tu,mi sina uhakika zaidi kama hiyo ndo alama ya hao jamaa mafreemason,coz huwezi kumtambua mchawi alafu wewe sio mchawi!!!!!!

    JibuFuta
  2. Utawajua tu ukijua siri zao. Maana ni vigumu kuwatambua kwa uwazi.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.