Pages

Jumatano, Juni 06, 2012

FILAMU INAKUJA HIYOOO WADAU WA FILAMU

Nisha kupitia Facebook amesema "yana siri nzito sana,,ni story yangu ya kweli,,mwezi huu inaingia sokoni,,kwa mara ya kwanza nimedirect,produce,kutunga story na kucheza...I AM PROUD OF IT,,,chini ya NISHAS FILM PRODUCTION(2GTHR INTERTIMENT),,Inasambazwa na S.A.S O INTERTIMENT

Maoni 2 :

  1. DAVID JERMOS6 Juni 2012, 17:21

    hiyo tunaisubiri kwa hamu sana daela,big up sana!!!

    JibuFuta
  2. Kila mtanzania ssasa hivi ni director, prodyuza na mwandishi wa script na ana act pia...jamani heeeee

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.