Je hili nalo lina ukweli wewe unasemaje,,,ameandika Joel Ngerema kutoka facebook
Wanawake karibu 98% wanataka hivi vigezo....NICE CAR,NICE HOUSE NA ATM
CARD IWE INAONGEA asa jamani maskini wenzangu tunafanyaje? si wenye hizo
qualifications wataendelea kutamba na kuringa?.....dunia haiko fea kwa
kweli
wanaume nao wapo wa aina hiyo 98%
JibuFutamh wanaume hawapo hivo kabisa
JibuFuta