asante mwaya siri natumia vipodozi vyenye machanganyiko wa tango na maranyingi huwa nachanganya aina lakini lazima kuwe na mchanganyiko wa tango au tango peke yake pamoja na kunywa maji mengi kila siku inasaidia sana pendelea kutafuna karoti mbichi mara kwa mara au tumia juisi yake inasaidia pia
JAMANI NAOMBA SIRI YA UREMBO WA NGOZI YAKO MBONA INAZIDI KUWA NYORORO PLZZZ..... UMEPENDEZA KWELI MREMBO USIACHE KUNIJIBU
JibuFutaasante mwaya siri natumia vipodozi vyenye machanganyiko wa tango na maranyingi huwa nachanganya aina lakini lazima kuwe na mchanganyiko wa tango au tango peke yake pamoja na kunywa maji mengi kila siku inasaidia sana pendelea kutafuna karoti mbichi mara kwa mara au tumia juisi yake inasaidia pia
JibuFutaASANTE NASHUKURU ILA SIJAELEWA TANGO UNALIFANYA NINI NI KULILA AU KUJIPAKA USONI?
JibuFuta