Pages

Alhamisi, Juni 21, 2012

Ni vyema kupenda kupendeza wakati wote huongeza vionjo


Nimeipenda picha wamependeza sana ukweli ni kwamba ni vyema kujipenda wakati wote kwani huongeza mvuto katika mapenzi na watu wanaokuzunguka pendelea kuonekana mpya kila wakati

Maoni 2 :

  1. Jamaa anasema starehe gharama, na mapenzi ya sasa ni gharama pia kwani ni moja ya starehe, ni kweli mpendwa?

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.