Pages

Jumanne, Juni 19, 2012

PICHA ZA MCHEKESHAJI WA ORIGINAL COMEDY JOTI KIPENGELE (MAKAVU LIVE)

Joti katika pozi jamaa kila siku ya alhamisi inapotimia saa moja jioni nikiangalia Original Comedy inayorushwa TBC  kipengele cha MAKAVU LIVE kinanikosha sana yaani kijana anaitendea haki kazi yake

Joti kwa kumuangalia tu kabla hajaanza kuchekesha basi unajikuta unacheka

Maoni 2 :

  1. Ndio ni komedy, vichekesho,...lakini najiuliza, hakuna wanawake wa kuigiza sehemu hizo za kike-kike...!

    JibuFuta
  2. emu-three ngoja nikujibu kidogo kuna wanawake lakini zizani kama ingenoga kama anavyoigiza huyu joti ndio maana inaitwa komedy

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.