Pages

Jumanne, Julai 31, 2012

WADAU WA SIMULIZI ZANGU SOON NITAANZA KUUZA KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA ONLINE KWA ATAKAYEHITAJI

Utapata fursa ya kusoma simulizi za kusisimua pindi utakaponunua kitabu cha Malipo ni Hapahapa ONLINE   nataka kufahamu kama kunawatakaohitaji ili niweze kufanya utaratibu huo mapema,, ASANTENI SANA KWA USHIRIKIANO TUKO PAMOJA SANA

Maoni 3 :

  1. mie nishakipata mtu kaja nacho kutoka bongo nilimuagiza bdo tu kuonana anipe nisome mna hapana story tamu.

    JibuFuta
  2. Mambo vp best,leta tangazo kwnye blog yangu ntakupa ofa mtu wangu,kukutangazia hcho ktabu chako.

    JibuFuta
  3. Mpendwa wewe upo mbali hongera sana!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.