kukosekana kwa uaminifu ndiyo chanzo kikubwa cha kupelekea mapenzi kutetereka imekuwa ni hali ya kawaida kwa wanaume na wanawake kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, na hivyo kupelekea kauli hii kutumika sana kwamba hakuna mpenzi wa peke yako lakini mimi naaamini inawezekana kama wawili wapendanao wakiamua kuwa na msimamo kwa ushirikiano namaanisha mapenzi ya kweli kwani kila kitu kinawezekana ni maamuzi tu. tamaa ni kitu kibaya sana lakini unaweza kuishinda tamaa kwani kama ni kupenda utapenda wangapi na kama ni vizuri kila kukicha vinazaliwa. KUJIHESHIMU NI JAMBO LA MSINGI SANA NA NI KWA FAIDA YAKO. |
Watu husema mapenzi ni kudanganya ikiwa kweli mapenzi yameshakwisha!
JibuFuta