Pages

Jumatatu, Agosti 06, 2012

UJUMBE WANGU WA LEO "USIUSEMEE MOYO WA MTU"

Sikuzote ni vigumu kutambua anachokiwaza binadamu mwenziyo lakini pia ni vigumu kutambua tabia ya mtu bila kumchunguza anaweza kuwa mpole lakini akawa hana tabia za kuridhisha.


Maoni 3 :

  1. Umependeza adela maneno mazuri

    JibuFuta
  2. Ujumbe murua mpendwa, usiusemee moyo wa mtu, maana hujui ndani yake kuna nini,anafikiria nini....au sio?

    JibuFuta
  3. Ni bonge la ujumbe nimeupenda sana. Ahsante Adela.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.