Pages

Jumanne, Agosti 21, 2012

Unaweza kuumizwa katika mapenzi na kujikuta ukitamani kurudiana na mpenzi wa zamani,,,

Mapenzi yana mambo mengi sana jamani inawezekana uliyempenda sana akakutenda au akakufanyia mambo ambayo yatakufanya umfikirie mpenzi wako wa zamani na huku ukiwaza bora ningeendelea na yule wa zamani na wakati mwingine kuna baadhi huwa wanarudi kwa wapenzi wao wa zamani baada ya kuona huko alipohisi kuna mapenzi ndiyo kaumia zaidi. NI VYEMA KUWA MAKINI KATIKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA KWANI UNAWEZA KUJUTA KWA KILE ULICHOKIFANYA MAPENZI YANACHANGAMOTO NYINGI SANA NA YANAHITAJI UBUNIFU NA UVUMILIVU VINGINEVYO KILA SIKU UTAKUWA NA MPENZI MPYA.

Maoni 1 :

Unakaribishwa kutoa maoni yako.