Binadamu tunakutana na matatizo mengi sana, mwanamke huyu pichani anaitwa Farida nilifanya naye KIPINDI CHA JE INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE, KUPITIA KIPINDI CHANGU AMBACHO NA KIFANYA KILA SIKU YA JUMAMOSI SAA TANO KAMILI HADI SAA SITA KAMILI MCHANA. KUPITIA RADIO PASSION FM DAR ES SALAAM ALIELEZEA MATATIZO ALIYONAYO UKWELI INASIKITISHA KUNA BAADHI YA WATU WAMEWEZA KUMSAIDIA NA PIA ANATOA SHUKRANI ZAKE SIKILIZA MATATIZO YAKE HAPO CHINI
|
jameni nampa polee huyo dada, kwa kile kichotokea kwenye mguu wake
JibuFuta