UJUMBE WANGU WA LEO "SIYO KILA ANAYECHEKA ANA FURAHA MOYONI MWAKE"
Maisha yana changamoto nyingi sana wakati mwingine unaweza kuwa unacheka lakini moyo wako unalia lakini pia unaweza kuwa unalia lakini ukawa unalia machozi ya furaha. FURAHA UPENDO NA AMANI NI NGUZO MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU
Tupo pamoja mpendwa, ni kweli kucheke na furaha, vinaweza visiwe sambamba, kucheka hutoka mdomoni, na furaha hutoka moyoni!
JibuFuta