Pages

Jumamosi, Oktoba 20, 2012

UJUMBE WANGU WA LEO TUDUMISHE AMANI NA UPENDO NAWATAKIA WEEKEND NJEMA

NAWAPENDA SANA TUENDELEE KUWA PAMOJA

Maoni 7 :

  1. Toto uko bomba wewe du!!mzima bibie?hiyo black ulioiweka imekutoajee!

    JibuFuta
  2. Hivi kweli waume zetu wanakwepeka hapo dadie? Wangua asije ingia humu akakuona alivyo kicheche atakukodoleaje na hilo jicho lako bifu kabisa.Ila umejaliwa jamani sura nzuri?

    JibuFuta
  3. shauri yako mwenye mume kicheche warembo kama kina Ad watamzuzua na asipate kitu ahahahahaaaaaaaa.Naona Ad anawaumiza sana wanaume wanaotembelea humu.Je anaonana nao huko nje si wanajikojolea wenyewe maana toto lina umbo safi sana jicho ndio usiseme maana kama alivyosema mwenyewe macho yanatongoza pia.

    JibuFuta
  4. Duuuh mdau hapo juu hapana mwenzangu haiwezekani lol kwasababu I trust my self and I love only someone in my life na mwanamume mwenye tamaa ya hivyo tena kwenye picha si shughuli kwakweli asanteni wadau pamoja sana

    JibuFuta
  5. Halafu mume wa mtu au mke wa mtu sumu jamani

    JibuFuta
  6. Hahahahahaaaaa dada Adela, asante sana dada kwa msg yako.Ila si unajua tena wahenga walisema "huwezi mzuia ndege kupita juu ya kichwa chako,ila waweza kumzuia kujenga kiota chake kichwani.Wewe dada Adela Mungu kakuumba mzuri na unapendeza na unajiheshimu,na ndio maana wanaume hatuwezi kukwepa kukufikia kwa macho ingawa si kwa kukushika.Kuna watu wanashiba kwa kuangalia tu dada hahahahaa.Uwe na siku njema mtoto wa kihaya.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.