Katika mapenzi mnapokuwa karibu katika kila jambo huongeza vionjo katika mapenzi hata kama mko mbali sikuhizi kuna mitandao kama internet, simu ya mkononi nk lakini inapotokea unaamua kuwa kimya kwa muda mrefu kwa yule umpendaye ni wazi kabisa inapunguza mapenzi baina yenu hata na hivyo kuna baadhi ambao unakuta wanaishi pamoja yawezekana ni mke na mume lakini hawana ukaribu katika mambo mengi kama kuzungumza juu ya mapenzi yao kutoka pamoja kufurahi pamoja yaani wanaishi kwa mazoeya kitu ambacho ni hatari sana kwani hupunguza mapenzi baina ya pande zote mbili.Yawezekana uko bize sana lakini ni vyema kutafuta muda wa kufurahi na umpendaye. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.