Natumia mafuta ya Vestiline ambayo kwa kiasi kikubwa yanasaidia kutunza ngozi yangu lakini pia kumbuka kula matunda kama karoti mbichi, matango nk husaidia kungarisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo. Ni vyema kutambua ngozi yako ni ya aina gani kwa vipodozi sahihi wakati mwingine ni vizuri kuwauliza wataalamu kwa matumizi sahihi ya vipodozi |
HONGERA MPENDWA, UNAPENDEZA, UNAVUTIA,..MMH, MUNGU AKUPE NINI
JibuFuta