Inawezekana
akawa ni mwalimu mzuri sana wa kufundisha maadili mema katika mambo
MBALIMBALI, lakini tabia aliyonayo isiwe nzuri. kwasababu, yale
anayoyatenda katika jamii hayaendani kabisa na vile anavyoelimisha
jamii, mfano anawaasa watu wasifanye uzinzi au kutumia kilevi lakini
yeye ndiye wa kwanza kutenda mambo hayo wataalamu wanakuambia "chukua
maneno yangu uelimike lakini usiige tabia yangu" TUKO PAMOJA SANA WADAU.
|
KIUKWELI WATU HAO WAPO WENGI WENYE MANENO MAZURI LAKIN UKIJA KWENYE KUTENDA WAKO TOFAUTI.
JibuFutaKWELI WENGI HUWA SI WATENDAJI WA YALE WANAYOYAFUNDISHA HAYAENDANI KABISA NA TABIA ZAO...UPO JUU SANA CSTA ITS FRED KINGTOL FROM MARANGU TTC
JibuFutaSIO SIRI HAYO NI YA KWELI KABISA
JibuFutaAM VERY HAPPY.
JibuFutaMwalimu mwema wa maisha ni yule matendo yake yanaendana na kile anachokufundisha, au sio?
JibuFutayou are so true my sister Adela tuko pamoja sana
JibuFutacan we meet pls?®
JibuFutakutenda kwake hapo
JibuFutakuusu ikiwa wewe ni mbaya ni mbaya tuu ukianza kumjaji mtu hautafika mbali kwani hangalia linalo kufaa kufanya na lisilo faha kufanya hachana nalo