Tunaishi katika mazingira ambayo tunakutana na watu tofauti na wenye tabia za aina mbalimbali, ni vyema kuwa makini na wale waliokuzunguka kwani yawezekana ukawaona ni wazuri sana kwasababu wapo karibu na wewe lakini kumbe sivyo unavyofikiria kwani yawezekana akawa na sura ya upole lakini si mpole, na anaweza kuwa anacheka lakini katika moyo wake hamaanishi hivyo, pia unaambiwa usimtazame mtu kwa mara moja tu kwani uzuri waweza kuwa wa nje tu lakini ndani balaa. MUHIMU KUWA MAKINI. |
Ni kweli kabisa. Watu wasidanganyike na vitu wanavyoviona au kutamani maisha ya mtu mwingine. Mtu anaweza akawa anajidai Ana maisha mazuri lakini moyoni analia.
JibuFutaSawa kabisa Adella, ni kama ninavyokuona na kukuangalia kwa sura wewe ni mzuri mno lakini kumbe ndani yako kuna sumu kali.Umenifundisha jambo hapa, maana kiukweli unang'ara sana bibie,ingawa naamini uzuri wako wa nje ndio uliomo ndani pia.
JibuFutaAdell, umenena dada, ila mimi kiukweli ninakupenda no japo sijui hata tabia yako ya ndani.Hata kama ni usiku wa giza naweza kukuchukua tu pasipo kuangalia una matongotongo au vipi, yaani nikikuangalia tu kwenye picha zako humu nasikia tumbo likiunguruma kabisaaaaaaa!! haya dada kila la heri najua siwezi kukupata maana unaonekana umefungwa nira na mtu japo sijui kiuhakika.
JibuFutaTHAT TRUE FROM TYONE- UDOM
JibuFutaasanteni sana friends tuko pamoja sana
JibuFuta