Wakati mwingine mtu unaweza kuwa na mawazo mazuri ya kufanya jambo la maendeleo, lakini ukaingiwa na hofu kutokana na mazingira au watu wanaokuzunguka, lakini siku zote, kujiamini na kufanya kile ambacho unakifikiria alimradi liwe ni jambo halali, basi lazima utafanikiwa, muhimu kujikubali kwani ukiruhusu hofu lazima utaanguka na utashindwa kusonga mbele.
KILA MTU ANAWEZA KUFANIKIWA JAMBO LA MSINGI NIKUJUA NINI UNATAKA KUFANYA, NA WAPI UANZIE ILI UFIKE PALE UNAPOTAKA, BILA KUKATA TAMAA. kwani siku zote ili ufanikiwe lazima utakutana na changamoto nyingi sana. yote kwa yote jambo la muhimu ni kusonga mbele na utafika tu. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.