Pages

Jumanne, Januari 14, 2014

MANENO MAZURI KATIKA CHANGAMOTO ZA MAISHA

Maisha ni GARI,Kumbuka kutembea na spear iitwayo MALENGO, na nyingine iitwayo UVUMILIVU,Tena kata bima iitwayo IMANI,Huku ukiwa na Dereva mahiri, ambaye ni Mungu.aliye na Leseni ya UPENDO,Atakufikisha salama sehemu iitwayo MAFANIKIO!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.