Siyo kila unachopenda kukifanya kinaweza kuwa sahihi, wakati mwingine unahitaji ushauri ili kuweza kufanikisha kile unachotaka kufanya. fanya unachokipenda lakini tumia akili yako kutafakari kabla ili usije kujutia kile ulichokifanya, kwani baadaye utakuwa hauna wa kumlaumu bali ni wewe na moyo wako. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.