Pages

Alhamisi, Januari 16, 2014

UJANJA WANAOTUMIA WASICHANA "NIMEITOA FACEBOOK"

Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-
point ukweni hali ilivyo =)) unaweza kukaa nae kama
wapenzi hata miaka 20 ila ndoa hataki coz ashajua
ukoo wenu sio anaoutaka :]xx anakulia Timing akutafutie
kosa akumwage:& ....Anakuuliza babako anafanya nini
unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na
sasa hivi amejiairi ni Mkulima wa Mananasi:> .,anajua
kimenuka hajalipwa mafao=]min ...Na mamako Je...Unamjibu
Mwalimu,anajua atalishwa chaki tu maana hali za
Walimu twazijua/:) .
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba
mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la
Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa
mgongo,thubutuuu>:/ na Mama mkwe na walimu wenzie
wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha
Cherehani na godoro la Banco=D ..Sistaduu gani anataka
kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi
bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na
zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa
Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP
za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz
kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka
Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka,
ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi
gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu
Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri
Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana#:-s utamsikia
'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby
mama:/ '

Maoni 3 :

  1. Ncheke nnenepe

    JibuFuta
  2. Ncheke nnenepe mie!!

    JibuFuta
  3. Nani hasiyependa mambo mazuri. Ndoa ndo mdudu gani!!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.