Maisha yanachangamoto nyingi sana, lakini katika safari ya maisha kila mtu ana malengo na kipaji cha kutaka kufanya jambo fulani. Unaambiwa usikate tamaa hata kama upo peke yako siku zote fikiria kufanikiwa na kukamilisha ndoto yako na kuwa na imani utafanikiwa. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.