Pages

Jumanne, Machi 25, 2014

MARUFUKU MAVAZI HAYA CBE


Uongozi wa chuo cha Biashara CBE Tawi la Mwanza umepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazokiuka maadili na sheria nchini. Kauli  hiyo imetolewa na mlezi wa wanafunzi wa  chuo hicho Justine Urio. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa chuo hicho Eustus Mkayu.

Urio amesema uongozi umepiga marufuku wanachuo wa kike, kuvaa magauni na blauzi zinazoonyesha matiti na wanaume suruali za milegezo na na kusuka nywele kwa wanaume. Nguo zenye mpasuo mkubwa na suruali zenye matobo kiasi cha kuonyesha maumbile.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.