Zabibu ni moja ya matunda ambayo yakitumika kwenye ngozi inaleta matokeo mazuri na kuiacha katika uhalisia wake. Unachotakiwa kufanya ni kusafisha uso wako kisha kausha uwe mkavu kabisa. Baada ya hapo chukua zabibu, pasua na uzipake usoni kwa kusugua katika maeneo yote ya uso. Kaa na matunda hayo kwa muda usiopungua dakika 15 kisha nawa kwa maji ya uvuguvugu.Ukifanya hivi mara kwa mara utaona mabadiliko katika ngozi yako fanya hivyo walau mara mbili kwa wiki ili kupata matokeo mazuri zaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.