Pages

Jumatano, Machi 19, 2014

TUMIA PARACHICHI KUIFANYA NGOZI KUWA NYORORO


 'Mask' ya Parachichi husaidia kuifanya ngozi iwe na mng'ao. Siyo hivyo tu, bali huchangia kwa kiasi kikubwa pia kuifanya ngozi iwe laini na nyororo.
Unachotakiwa kufanya
Chukua parachichi liloiva vizuri, kisha saga hadi lilainike.
Baada ya hapo pakaa sehemu iliyoathirika na acha kwa muda wa dakika 10, kisha osha sehemu hiyo 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.