Pages

Jumatatu, Machi 17, 2014

UJUMBE WA LEO "BINADAMU TUNAISHI KWA KUTEGEMEANA, ANAYEKUDHARAU LEO IPO SIKU ATAKUHESHIMU"

Safari ya maisha ina mambo mengi sana, Usipokuwa makini unaweza kukata tamaa na usiendelee kusonga mbele kwani siyo kila mtu anaweza kufurahia juhudi zako.Jambo la msingi kumbuka Kumshirikisha Mungu katika kila jambo kwani siku zote amini wewe ni shujaa wa imani ni marufuku kukata tamaa.Simama imara, songa mbele changamoto zote ni kama kuni inayochochea moto wa imani. -Himiza mwendo wako kumtumikia Mungu, atakubariki Sana. -Mpe Mungu nafasi, na Muonyeshe kuwa yeye ni wa muhimu Sana kwako kuliko kitu chochote kinachokuzunguka.

Maoni 1 :

Unakaribishwa kutoa maoni yako.