|
HAYA HAYA WALE WAKIKENI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA NIWATANGAZIE KUWA ILE EVENT,/TUKIO LA MWAKA LA WANAWAKE LINALOENDA FANYIKA KWA MWAKA WATATU SASA HAPA JIJINI TUKISHEREHEKEA SIKU YETU SISI KWA KUUMBWA WANAWAKE HIYOOOOOO LAJONGEA
NI TAREHE 8 MARCH SIKU ILE ILEEE MAALUM YA WANAWAKE WOTE DUNIANI AMBAYO ITAKUWA INASHEREHEKEWA DUNIA NZIMA NASI TUTAKUWA NAO SAMBAMBA
TUTALAKOENDA ANGAZIA SAFARI HII KATIKA SIKU YETU HIYO NI
‘KUONDOA AINA ZOTE ZA UKATILI NA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAWAKE’
NA WAPO WATAKAOTUWEZESHA ….KAMA MNAVYOONA HAPO TUNAWEZA WATAKUWEPO KUFANIKISHA
KIVAZI /DRESS CODE /KIVAZI CHA KUTINGA SHUGHULINI NI ILE ILE:: AFRICAN PRINT VAA KITENGE/ KANGA/BATIK MRADI TOUCH YA KIAFIRIKA IHUSIKE
MAHALI ::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
|
TICKET ZIKO MTAANI NA WAWALE MLIOBOOK MEZA TUWASILIANE TUKABIDHIANE
KUNUNUA TICKET MOJA MOJA
SHEAR ILLUSIONS – MLIMANI CITY
MAZNAT BRIDAL CARE -MIKOCHENI
SILVER BOUTIQUE -POSTA AZAM
ROZELLA FASHIONS :lKINONDONI
DIDA CLASSIC ::KINONDONI
VIATUZI ::UPANGA
BACKTOAFRICA #B2A DUKA #70 DAR FREE MARKET
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0784 418941
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.