Alhamisi, Aprili 10, 2014

FAMILIA KITCHEN PARTY GALA TOUR...


Women in balance kwa kushirikiana na familia inakuletea familia kitchen party gala tour kwa mikoa ya Dodoma,Mwanza na Dar es salaam.Jumapili hii ya tarehe 13 wadada na wamama wa Dodoma mtakutana katika ukumbi wa kilimani kuanzia saa sita mchana mpaka saa moja jioni.Kiingilio ni tsh 10,000 tu.

 Pamoja na lunch ya nguvu.Aunty sadaka,Mama victor na makena watakupa yale ya kikeni na burudani ya nguvu kutoka kwa Shilole na Mwasiti.Huduma za afya za upimaji wa saratani ya kizazi na afya ya uzazi wa mpango itafanyika hapo hapo ila katika vijumba maalum kutoka familia.Imeandaliwa na women in balance na kudhaminiwa na familia huduma bora za afya zinazoaminika.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Mwanza lini Adella

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom