Utafiti uliofanywa na Kituo Cha British Chiropractic Association unaonyesha kuwa vijana wengi wasumbuliwa na maumivu ya mgongo na shingo kutokana na matumizi ya simu na kompyuta . Utafiti huo ulinyesha wengi ambao wana matumizi makubwa ya Kompyuta,I pad, na simu wanapata maumivu ya shingo na mgongo kutokana na kukaa muda mrefu wakati wa matumizi wa vifaa hivyo.
Matumizi ya vifaa hivi haya kwepeki hasa kutokana na utandawazi kurahisisha mawasiliano na ufanyaji wa kazi kwa urahisi. Maendeleo haya yana madhara na ni vyema kwa mtumiaji kuwa makini, angalau kupunguza muda wamatumizi pamoja na kunywa maziwa fresh angalau mara mbili kwa wiki pamoja na kula mbogamboga ili kusaidia matatizo ya macho kutokana na matumizi ya muda mrefu katika kutumia vifaa hivyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.