“Jamani msichanganye watu wote,kuna ambao wana maadili na wanachukulia uigizaji kazi kama kazi nyingine , kusema
waigizaji wote siyo mfano wa kuigwa kwa jamiii ni kuwakosea au kutukosea, ni
muhimu wazazi wakawafundisha tabia nzuri watoto wao na kuwaandaa kuwa maarufu
kabla ya kuwaruhusu kuingia kwenye tasnia ya filamu" NENO LA LEO NA MWIGIZAJI BATULI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.