ZENA NA BETINA kuingia sokoni huku ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania. Filamu hiyo itaingia sokoni tarehe 12 / June/2014. Mastaa ndani ya movie hiyo ni Nisha, Manaiki Sanga, Jennifer wa Kanumba, Senga, Farida Sabu na wengineo. usikose kununua nakala yako halisi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.