Ni vyema wanawake kuwajali watoto wote hata wale ambao hawakuwazaa ili kusaidia taifa kupunguza ukatili dhidi ya watoto, wanawake wametakiwa kuwa na moyo wa utoaji na siyo kwa watoto waliowazaa pekee.Ili tatizo la unyanyasaji wa watoto lipungue.
Kwani kuna wanawake wanaowafanyia watoto ukatili kama vile si wazazi, si jambo jema haipendezi kumbuka watoto ni taifa la kesho hivyo wazazi wanawajibu wa kuwatunza na siyo kuwatenga na kuwanyanyasa.Ujumbe :Na mchungaji Zera Kilala.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.