"Katika nadharia za maendeleo, siku zote maendeleo yanaanza na wewe mwenyewe na hasa hili nazungumza na vijana wenzangu, siyo huu utaratibu tulioanzisha kukaa vijiweni tunasubiri kiongozi amechaguliwa na wachache halafu kesho tunakuwa mstari wa mbele kulalamika kuwa huyu mtu hafai na hatujali sisi vijana.Vijana mnatakiwa kuacha tabia ya kukaa vijiweni kusubiri Serikali iwaletee maendeleo badala yake kila mmoja ahangaikie kuyasaka" Amesema Ridhiwani ambaye pia ni mbunge wa Chalinze (CCM) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.