Tazama katika picha hii huyu jamaa akitaka kujiua na bastola,, matukio kama haya huwatokea watu wengi walioshindwa kutatua matatizo na kufikia hatua ya kutaka kujiua;;;
Huko Ruvuma mkazi mmoja Ernest Komba(48) amejiua kwa kujipiga risasi kutokana na wivu wa kimapenzi,,akizungumza na gazeti la Dar leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma amesema..tukio hilo limetokea jana usiku,,ni baada ya kuhisi wake zake wawili wanatoka nje ya ndoa,,jambo ambalo lilimkera na kuanza kuwashambulia baada ya kutoka Shambani,,kutokana na kuzidiwa kipigo wanawake hao waliamua kukimbilia kwa afisa mtendaji wa kijiji ambapo mwanaume huyo aliwafuata akiwa na panga kisha kuwatishia kuwaua,,hali hiyo ilimtisha mtendaji wa kijiji na kuamua kupiga simu polisi kwa msaada na kusababisha mwanaume huyo kutimua mbio..
Kutokana na Hasira mwanaume huyo alikwenda nyumbani kwake kuchukua bunduki aina ya gobole na kujilipua nalo mdomoni na kufa papo hapo..
Duuh inasikitisha na yalikuwa sio maamuzi sahihi....fikiri na tafakari kabla ya kutenda...habari hii imenihuzunisha sana kwani inweza kutoke kwa yeyote yule na yote ikiwa ni hasira na kukata tamaa,,tuwe makini jamani.. |
Adela, mimi hapa nakuwa against him kama kweli alijiuwa kwa sababu ya vivu, tena mwanaume et kanywa sumu daaaa! haya mambozz wanayo sana dada zetu, wanaume sio saaana, usikute jamaa alikuwa na stress zake tu nyengine akaamuwa kujiua na kusingizia wivu. japokuwa wivu una nguvu sana katika jamii, lakini sio kufikia et mtu unajiua coz of this stupid word called "wivu" khaaa! no big no, mtu waweza kuua coz of wivu, lakini sio kujiua! nimtazamo wangu tu jamani.
JibuFutaNi kweli inasikitisa sana kama mambo yenyewe ndo hivyo kweli wivu ni mbaya. Mpaka mtu unajiua kwa kitu kichokuwa na uhakika. Na kaMkoa ketu kaRuvuma duh! inasikitisha kweli kwa kweli.
JibuFutamambo Adela
JibuFuta...ka mkoa kenu ka Ruvuma kamekuwaje Yasinta?
JibuFutakujiua ati kwa kile kinachoitwa WIVU ni UJINGA kwa kuwa anayesema ana wivu hajui maana ya upendo na pia hajitabui na kujiamini... :-(