Pages

Jumatano, Septemba 29, 2010

Je inawezekana tamaa ikaisha katika mahusiano,,,na hii ni kwa upande wa mwanamke na mwanamume..

Jamani tamaa sio kitu kizuri,,,na unaweza ukaizuia tazama picha hii huyu kaka yupo na mwenza wake katika matembezi wakati huohuo pembeni kapita mrembo,,jamaa uzalendo ukamshinda na kugeuka nyuma bila hata ya aibu,,,
Tunaweza kusema tamaa katika mahusiano inatokana na vitu kama..pesa,,mavazi ya kina dada,,hali duni ya maisha,,kutokujiamini,una mwanamke mnene unataka mwanamke mwembamba,,mweupe,unataka mweusi,, nk...
Hata dini inatuambia tamaa ni mbaya na inaweza kukufikisha pabaya,,kwani magonjwa ni mengi,,kama Ukimwi,,magonjwa ya zinaa pamoja na mimba za utotoni kwa vijana..unaweza kuizuia tamaa ukiamua na si kusingizia kuwa fulani mavazi yake au umbo lake au anajirahisisha nk,,,ukiamua kuishinda tamaa unaweza...I know we can....

Maoni 9 :

  1. mmh! yawezekana kama ukiwa 'connected' na nguvu kuu!

    JibuFuta
  2. @Reggy asante sana@Chacha asante kweli inawezekana

    JibuFuta
  3. @Yasinta umeonaeeehh tuko pamoja ila inawezekana kubadilika kwa wenye tabia ya kutamani ovyo...

    JibuFuta
  4. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  5. @ Adella kwa muktadha wa hiyo picha unaonyesha wanaume ndo wanaonekana wanatamaa zaidi, cjui unazungumziaje kwa upande wa pili ambapo unauzoefu napo

    JibuFuta
  6. @Manace asante sana kwa wanawake pia wapo tena kwa asilimia kubwa ikiwa ni katika tamaa ya pesa,,au umaarufu,,unakuta mwanamke anampenda mwanaume kutokana na pesa zake au anakuwa na wanaume wengi kutokana na tamaa ya pesa,,na mwingine ankuwa na tamaa ya kuwa na mtu maarufu basi tu ili aonekane,,kiukweli tamaa ni mbaya na ipo pande zote mbili

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.