Maumivu huwa yanatofautiana mwingine hufika hatua ya kuugua na hata kulazwa hospitali,mwingine kunywa sumu..yote ikiwa ni kukata tamaa ya kuendelea kuishi kwasababu ya mapenzi..jamani mapenzi ni matamu sana lakini yanaweza kugeuka na kuwa machungu,,,bila kutegemea..kilichobaki ni kufanya maamuzi sahihi pale unapotafuta mchumba kuwa makini sana usikurupuke na kujikuta siku zote wewe ni mtu wa kulia katika mapenzi.Utakuta ndani ya mwaka mmoja umekuwa katika mahusiano na watu zaidi ya wa tano na wote wakakuumiza..yaani unajikuta umekuwa kama chombo cha kutumika na kutupwa.Umakini ni wa muhimu sana. |
Mmmmm adela we acha tu, unajuwa kuna vijimambo fulani katika mapenzi, vinaweza vikakufanya unalia tu kila siku, coz wakati mwengine unabahati mbaya au ni vizuri kama utajiangalia sana tabia zako na unaempenda, au sikuzote penda unapopendwa na usipende kulazimisha mapenzi, kama utakuwa unafanya hivyo, basi tegemea kudondosha machozi yako mengi tu bila mafanikio!!
JibuFutaTatizo kubwa linatokea pale unapenda sehemu isiyo pendeka tujaribu kutafuta wapenzi ambao wanatupenda kwa dhati me nadhani hata machozi yatapungua kabisa na kuisha.By PIPO
JibuFutakukubali kuumizwa na ukaendelea kuwepo kwenye mahusiano inaonesha jinsi usivo na utambuzi na unakuwa ni mateka na utaendelea kuumizwa mpaka unaingia mu-kaburi :-(
JibuFutaToka huko haraka, ebo!!!!
Nashukuru nimeshapita huko not anymore!
JibuFutaMie naamini kama mapenzi ni upofu mana unaweza kupenda usipopendwa alafu ukawa hajui umeingia mahali zipo kabisa mpaka ukija kujua unatoka machozi na maumivu yasiokwisha.
JibuFuta