Ni muhimu kutunza mazingira,,haipendezi kujisaidia haja ndogo ukutani jamani.
Haya ni maeneo ya Temeke chan'gombe nilipita nikakuta mazingira yapo kama unavyoona pichani kuna baadhi ya wa wanaume wanapenda kujisaidia haja ndogo katika ukuta vichochoroni haipendezi jamani tazama ukuta unavyobadilika rangi hapo chini yaani haya maeneo ni yana harufu mbaya ni balaa halafu watu wanaishi hii haipendezi jamani.
Mtazame huyu jamaa anajisaidia haja ndogo ukutani yaani hii inachangia kuharibu mazingira na ukuta kuharibika haraka ni tabia mbaya hii haipendezi bora usogee pembeni jamani,,,mmmh sijui
Mazingira ya nyumba ya mtu katika hali ya uchafu ni nyumba wanaishi watu naona wanataka kutengeneza jalala hapo taratibu linakuwa dampo,,mmh sijui nani wa kulaumiwa,na milipuko ya magonjwa ndio kila kukicha.
kaazi kweli kweli! hivi kama nje kunaonekana hivyo je ndani? kuna usemi unasema usafi huanzia nje au? Kwa kweli haipendizi kabisa na ndio chanzo cha magonjwa .
Tabia za watu kuwa wabinafsi kutojali wengine, kwa mfano lazima ukifanya kitu ujiulize mwenzangu atajisikiaje, je siwezi kumathiri mwenzangu...hii haipo huku kwetu! Pili sheria hazina makali...kuna wakati walisema mtu haruhusiwi kuvuta sigara hadharani, lakini hii iliongelewa tu bungeni sijui iliishia wapi. Sheria kama hiyo ilitakiwa iendane na hawo wanaokojoa ovyo, kwani madhara yake yanafanana-fanana! Kuna mtu alisema kabanwa na mkojo, na yupo kwenye daladala, kashuka chini hakuna choo karibu afanayeje, ajikojoleee? nikacheka, nikamuuliza je kama kabanwa na haja kubwa angefanyaje? akacheka!
@Yasinta asante kipenzi@emu three hahahahaha daah kasheshe tuko pamoja@.kikubwa zaidi sheria ichukue mkondo wake na kama haipo bora itungwe asanteni sana
kaazi kweli kweli! hivi kama nje kunaonekana hivyo je ndani? kuna usemi unasema usafi huanzia nje au? Kwa kweli haipendizi kabisa na ndio chanzo cha magonjwa .
JibuFutakweli haipendezi kabisa halafu mbaya kabisa wanaofanya hivyo ni watu wazima wenye akili zao.
JibuFutaustarabu ni kitu cha bure
watanzania tubadilike!
Tabia za watu kuwa wabinafsi kutojali wengine, kwa mfano lazima ukifanya kitu ujiulize mwenzangu atajisikiaje, je siwezi kumathiri mwenzangu...hii haipo huku kwetu!
JibuFutaPili sheria hazina makali...kuna wakati walisema mtu haruhusiwi kuvuta sigara hadharani, lakini hii iliongelewa tu bungeni sijui iliishia wapi. Sheria kama hiyo ilitakiwa iendane na hawo wanaokojoa ovyo, kwani madhara yake yanafanana-fanana!
Kuna mtu alisema kabanwa na mkojo, na yupo kwenye daladala, kashuka chini hakuna choo karibu afanayeje, ajikojoleee? nikacheka, nikamuuliza je kama kabanwa na haja kubwa angefanyaje? akacheka!
na kweli ulimuuliza swali la msingi sana.
JibuFutakama kawaida sheria za tanzania hazifuatwi kabisa sasa sijui tunazitunga ili nini.
@Yasinta asante kipenzi@emu three hahahahaha daah kasheshe tuko pamoja@.kikubwa zaidi sheria ichukue mkondo wake na kama haipo bora itungwe asanteni sana
JibuFuta