Inawezekana kukabiliana na watu wanaopenda majungu na fitna katika sehemu ya kazi,epuka kusikiliza,kushabikia na kuongea majungu itakusaidia kutengeneza idadi kubwa ya marafiki badala ya maadui. |
Inawezekana kukabiliana na watu wanaopenda majungu na fitna katika sehemu ya kazi,epuka kusikiliza,kushabikia na kuongea majungu itakusaidia kutengeneza idadi kubwa ya marafiki badala ya maadui. |
Maoni 3 :
Kama matajiri wangelijua hilo wangefaidi sana, kwani mfanyakazi ukimjali ataijali kazi yako kama yake na ukimfanya mtumwa basi mwisho wa siku na yeye atakuwa nani vile???
na wafanyakazi wakijitambua inakuwa swafi hata kama mdosi anawafanyia vimbwanga wao wataona kama maigizo/sarakasi wanaendelea kuchapa kazi tu!
@Emu three tuko pamoja sana@Chacha pamoja sana ni muhimu sana wafanyakazi kuzingatia hilo.
Chapisha Maoni