Pichani watu wakiwa makini katika kazi huku wakishirikiana,ili uweze kufanya kazi vizuri na wenzako ni lazima pia kujenga mahusiano mazuri na wenzako kwani kama hauna mahusiano mazuri na wenzako si kwamba kazi itakuwa ngumu kwako lakini pia utakosa ushirikiano katika kazi na hivyo kujikuta unafanya makosa kazini kwasababu hauna ushirikiano.Katika mazingira yetu ya kazi popote pale unapofanya kazi hakuna ofisi iliyokosa majungu na fitna.Hii ni kwasababu mbali na kufanya kazi kwa ushirikiano,lakini bado kila mtu ana tabia binafsi inayoweza kuwakwaza wengine. |
Kama matajiri wangelijua hilo wangefaidi sana, kwani mfanyakazi ukimjali ataijali kazi yako kama yake na ukimfanya mtumwa basi mwisho wa siku na yeye atakuwa nani vile???
JibuFutana wafanyakazi wakijitambua inakuwa swafi hata kama mdosi anawafanyia vimbwanga wao wataona kama maigizo/sarakasi wanaendelea kuchapa kazi tu!
JibuFuta@Emu three tuko pamoja sana@Chacha pamoja sana ni muhimu sana wafanyakazi kuzingatia hilo.
JibuFuta