Pages

Jumanne, Oktoba 12, 2010

Tumia vitu asili kwa ngozi yako...

Ili ngozi iweze kuwa na mvuto inahitaji matunzo,ngozi inayoachwa bila matunzo kamwe haiwezi kuwa na mvuto,ngozi inaweza kutengenezwa kupitia vipodozi vinavyotengenezwa na kemikali mbalilmbali,lakini pia inaweza kutunzwa kupitia viasilia mbalimbali vitokanavyo na mimea au mazao ya shambani,,

Matunda ya aina mbalimbali yanasaidia sana katika kutunza ngozi yako.matunda kama Tango na maparachichi hutumika katika kutunza ngozi kwa kula pamoja na kupaka usoni,,pendelea kula aina hii ya matunda na pale unapopata muda chukua tango lako lipondeponde changanya na mayai na alovera kisha zisage vizuri baada ya hapo paka usoni,shingoni au popote mwilini,,subiri dakika 20. baada ya hapo safisha uso wako unaweza kufanya hivi mara kwa mara kila wiki.ili kutunza ngozi yako.na ikishindikana waone wataalamu wa masuala ya ngozi kiutaalamu zaidi.


Maoni 7 :

  1. Adela! ahsante kwa darasa hili zuri, Nimeprint nitajaribu.

    JibuFuta
  2. poa kipenzi @Yasinta ni nzuri sana..

    JibuFuta
  3. Asante mdada,tutafuata ushauri wako...ila mimi ngozi yangu ni ya mafuta sana nini nitumie nipunguze mafuta? kama unajua tafadhari tuambizane.

    JibuFuta
  4. Ahaaaaaaaaaaaa!!!!
    Kwa bahati mbaya iliyo nzuri NIMEWASILI HAPA
    Na nimekutana na habari murua
    Karibu kwenye ulimwengu wa ku-blogu dadangu. Twawahitaji wengi zaidi
    Baraka kwako na asante kwa shule nzuri

    JibuFuta
  5. Ohoo Bibi yangu akiwaona mnajipaka matunda atawafinya kwa kudhani mnachezea chakula nyie shauri zenu!.:-)

    JibuFuta
  6. @Edna poa my dia usijali tuko pamoja@Mzee asante pia tuko pamoja@Simon hahahahaha hatuchezei tunatumia kutunza ngozi..

    JibuFuta
  7. Adela mm nakupenda sn km huna mume au mchumba hebu tuwasiliane.

    Magulu
    Masomoni
    Germany

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.