Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tangu alipotutoka tarehe 14 october 1999.Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu tarehe 31 mwezi huu tumuenzi mwalimu kwa kukataa rushwa,ubaguzi,udini,ukabila vitu ambavyo alivipinga kwa nguvu zote enzi za uhai wake.Alikuwa mwana mapinduzi halisi mzalendo na aliyejitoa kwa moyo wote kwa ajili ya Taifa la Tanzania.Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe AMEN |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.