Ijumaa, Oktoba 22, 2010

Weekend njema wadau,,its friday unaweza kutoka simple na ukapendeza kama una mtoko...



Hapa mdogo wangu akiwa anahangaika kwenye kioo katika kujiremba mmh hiyo style sijui ni kijogoo cha wapi kazi kwelikweli siku hizi kuna mitindo mingi sana ya kuchana nywele kwa kina dada mitindo mingine unaweza usiielewe.


Hapa mwenyewe anawaza sijui nitoke tu kawaida haina haja ya kuwa na kijogoo.

Hapa Alice Kavishe akaona hapana ngoja niweke style kidogo,,kina dada wakati mwingine hupoteza muda mwingi sana katika kujiremba,lakini ndio hali halisi kwamba mwanamke kujiremba hivyo kama una mtoko basi ni vizuri kujiandaa mapema kwani kama kuna mtu anakusubiri kiukweli inaweza kuwa kero kama atakusubiri ukijiandaa kwa masaa mengi wakati yeye ana haraka.

Maoni 3 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Mwee! ndo maana Kapulya nimeamua kuwa na rasta. Maana huko kupoteza muda huo muda sina. Haya ijumaa njema nawe pia na msalimie mdogo wetu Alice pia.

ADELA KAVISHE alisema ...

@Yasinta asante mwaya tuko pamoja kama kawaida

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

Yasinta: labda umikuwa rasta-lady kwa kuwa u mvuvi...oops...sorry mvivu....lol!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom