Pages

Jumanne, Novemba 02, 2010

Huko Morogoro jamaa limekamatwa kwa kumuingilia mbwa..

Mbwa ni mnyama ambaye anafugwa na binadamu kwa nia ya ulinzi nk. Mkazi wa kata Mwembesongo mwenye umri wa miaka 25, Manispaa ya Morogoro, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuingilia mbwa.Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Thobias Andengenye, amesema kuwa kijana huyo alikuwa akifanya kitendo hicho kwa muda mrefu.Alikamatwa usiku wa kuamkia jana katika choo cha mwenye mbwa huyo kilichopo eneo la Mji Mpya akifanya kitendo hicho cha aina yake.

Mmiliki wa mbwa huyo Boniface Raphael akiwa na mwenzake walitoa taarifa baada ya kuona kitendo hicho. Raphael amesema walishtukia wakiwa wamelala kumsikia mbwa huyo akipiga kelele mara kwa mara ,amesema baada ya kumfuatilia walimuona mtuhumiwa huyo katika banda lake akimpatia chakula na baadaye kumtoa nje na kumpeleka chooni.Kamanda amesema walivunja mlango wa choo hicho na kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha kituo cha polisi na wanaendelea na uchunguzi. mmmh jamani sijui tunaelekea wapi???

Maoni 4 :

  1. Mengi ya ajabu yataajiri, kwasababu asili na imani moyoni vimetoweka! Hebu iulize, nini atajitetea kuhusiana na hili, ni mambo ya kishirikina? Au kakosa mwanamke au...sijui ana sababu gani.
    Kwenye mitandao nimeshangaa mambo kama haya yapo, watu wanafanya `yaitwayo mapenzi ' na wanyama!! sijui twaenda wapi!

    JibuFuta
  2. uwiiiii! hii ni laana kabisa, kufanya mapenzi na mnyama ama kweli sasa ni mwisho wa dunia!!!

    JibuFuta
  3. Emu three umenena wangu tuko pamoja inakera sana na wapo wengi tu wanafanya hivyo sijui ni kujaribu au ni wendawazimu@Yasinta thanx kipenzi tuko pamoja

    JibuFuta
  4. Huyo mbwa angemuadabisha huyo jamaa kwa kumg'ata hizo balls zake anazoringia...

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.